Akina Mama Bondeni Wajitokeza Kudai Kuwa Kuna Ulegevu Kufuatia Kuongezeka Kwa Visa Vya Dhulma | KenyaMOJA.com
Published 1 day ago• 1 minute read
Kufuatia kuongezeka kwa visa vya dhulma za kijinsia katika kaunti ya Elgeyo Marakwet haswaa vinavyoelekezwa kwa wanariadha na wakazi katika bonde la Kerio, baadhi ya kina mama katika kaunti hiyo wamejitokeza kudai kuwa kuna ulegevu katika sekta ya mahakama.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Loading...
Loading...
You may also like...
Loading...